COURSES WE OFFER

Introduction to cancer

Understand what is cancer and what courses it

Start Course

Introduction to breast cancer

Understanding breast cancer amongst male and female

Start Course

Screening Diagnosis and Prognosis of Breast Cancer

Understand how cancer is detected
Understand how cancer is diagnosed
Understand staging of breast cancer

Start Course

Breast Cancer Treatment and Side Effects

Understand the various types of breast cancer treatment
Understanding the side effects of breast cancer treatment

Start Course

The breast cancer support volunteer

Learn how to give care to cancer patients

Start Course

Nutrition and Physical activities

Understand the components of nutrition and why each component is important.

Start Course

KOZI TUNAZOTOA

Kozi hii inakuza mada mbalimbali kuhusu kansa kuanzia kuanzishwa njia yote ya kutunza wagonjwa wa saratani Imeandaliwa kwa wale ambao kwa kujitolea katika kutunza wagonjwa wa saratani na wote ambao wanataka kuwa na ufahamu wa kozi na madhara ya kansa.

Utangulizi Kwa Mada ya Saratani

Kuelewa maana ya Saratani, inachosababisha na inavyo enea

Anza Somo

Saratani ya matiti

Kuelewa saratani ya matiti katika wanawake na wanaume

Anza Somo

Uchunguzi Utambuaji na Uaguzi wa Kansa ya matiti

Kuelewa jinsi kansa inavyogunduliwa
Kuelewa jinsi kansa inavyotambuliwa
Kuelewa hatua za kansa ya matiti

Anza Somo

Matibabu Ya cancer ya matiti

Kuelewa aina mbalimbali za matibabu ya kansa ya matiti
Kuelewa athari (side effects) za matibabu ya kansa ya matiti.

Anza Somo

Mtu anayejitolea kutunza mgonjwa wa kansa ya matiti

Kufikia mwisho wa mada hii, utaweza.
Kuelewa majukumu ya mtu anayejitolea kutunza mgonjwa wa kansa ya matiti.
Kuelewa mbinu za kutunza mgonjwa wa kansa ya matiti.

Anza Somo

Lishe na mazoezi ya kimwili

Kuelewa vipengele (components) vya lishe na kwa nini kila kipengele ni muhimu.

Anza Somo